Jinala Mwanafunzi
………………………………….……….Namba Ya Usajiri…………………
ELAM
CHRISTIAN HARVEST SEMINARY TANZANIA
Seminari Ya Mavuno Elam

Kuwaandaa
Watendakazi kwaajili ya Mavuno ya Nyakati za Mwisho.
LUKA 10:2
MTIHANI WA
KUHITIMU KOZI ZA MUHULA WA KWANZA2016/2017
MUDA
SAA 3:00
IDARA
YA THEOLOJIA
EDT
300
HISTORIA
YA KANISA “I”
MAELEKEZO
·
Mtihani
huu una sehemu A, B na C
·
Jibu
maswali yote kama ulivyoulizwa
·
Usipoteze
muda katika swali moja usilolijua
·
Usafi
ni muhimu na utazingatiwa katika utoaji alama.
Swali lililofutafutwa halitapewa alama.
SEHEMU “A” MACHAGULIO (alama 40)
Soma maswali yafuatayo na kasha jibu kwa
kujaza katika jedwali lililopo hapo chini.
1.
Kanisa
la Pergamo linawakilisha kipindi cha …………..cha kanisa
a)
Kipindi
cha mitume
b)
Kipindi
cha mateso
c)
Kipindi
cha matengenezo
d)
Kipindi
cha kifahari.
2.
Mfiadini
wa kwanza alikuwa ni:
a)
Paulo
b)
Musa
c)
Timotheo
d)
Stefano.
3.
Mwanzo
wa kanisa ulikuwa ni:-
a)
Antiokia
b)
Bethlehemu.
c)
Yerusalemu
d)
Nazareti.
4.
Alitawadhwa
kuwa Askofu mwaka mmoja tu baada ya kuokoka.
a)
Iginasi
b)
Leonidasi
c)
Sipriani
d)
Yesu.
5.
Kanisa
lilianza
a)
Goligotha
b)
Siku
ya Pentekoste
c)
Kalvari
d)
Msalabani
6.
Ulijulikana
kama nuru ya Asia.
a)
Tiathira
b)
Efeso
c)
Pergamo
d)
Laodekia.
7.
Mojawapo
ya maadui kanisa liliokabiliana nao mara baada ya kuanza :-
a)
Wayahudi
b)
Mafasisayo
c)
Masadukayo
d)
Waeseni
8.
Wanachama
wa kanisa la kwanza walikuwa ni
Wayunani
a)
Wayahudi
b)
Wamataifa
c)
majbu
yote hapo juu ni sahihi.
9.
Siku
kanisa linaanza Petro alipohubiri Waliokoka
a)
Watu
4000
b)
Watu
3000
c)
Watu
5000
d)
Watu
10000.
10.
Walianza
wakati wa kipindi cha Ezra waliporudi toka uhamishoni.
a)
Mafarisayo
b)
Waeseni
c)
Masadukayo
d)
Wayahudishaji
11.
Mkutano
ulioitishwa kwaajili ya kushughulikia suala la wokovu kwa watu wa kimataifa ikiwa walipaswa kushika
Torati au la
a)
Mkutano
wa Yerusalemu
b)
Mkutano
wa Nikea
c)
Mkutano
wa Kostantinopali
d)
Mkutano
wa Efeso
12.
Mkutano
wa kwanza wa kanisa zima
a)
Mkutano
wa Yerusalemu
b)
Mkutano
wa Nikea
c)
Mkutano
wa Kostantinopali
d)
Mkutano
wa Efeso
13.
Alileta
uamsho mkubwa kule Samaria
a)
Tomaso
b)
Filipo
c)
Mathayo
d)
Yohana.
14.
Wasamaria
walikuwa na hekalu lao huko:-
a)
Yerusalemu
b)
Bethlehemu
c)
Uyahudi
d)
Gelizimu.
15.
Hawakupatana
na wayahudi.
a)
Wayunani
b)
Wayahudi
c)
Wasamaria
d)
Wainjilisti
16.
Mwamini
wa kwanza katika bara la Ulaya alikuwa mwanamke aliyeitwa
a)
Dorkasi
b)
Lidia
c)
Prisila
d)
Perpetua
17.
Katika
karne ya pili karibuni wanazuoni wote wa
Kikristo walifundisha kwamba Yesu alikuwa :-
a)
Theotokos
b)
Pneumatologia
c)
Logosi
d)
Rhema
18.
Watu
wa ……….Waliitwa waungwana kule wale wa Thesolanike
a)
Warumi
b)
Waefeso
c)
Wakolosai
d)
Waberoya.
19.
Alimuua
baba wa mwanatheolojia mkuu
a)
Nero
b)
Deokletiani
c)
Domitiani
d)
Septimus
20.
Alikuwa
na miaka 16 alipoingia katika utawala
a)
Nero
b)
Deokletiani
c)
Domitiani
d)
Septimus
Swali
|
1
|
2
|
3
|
4
|
5
|
6
|
7
|
8
|
9
|
10
|
11
|
12
|
13
|
14
|
15
|
16
|
17
|
18
|
19
|
20
|
Jibu
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
SEHEMU B: (alama 40) KWELI AU
SIKWELI
Weka tiki katika
jibu sahihi kutokana na ulivyojifunza katika kozi hii.
Swali
|
Maelezo
|
Hapana
|
Ndiyo
|
1.
|
Deokletiani
aliamuru Biblia zichomwe moto
|
|
|
2.
|
Yustin
Shahidi alikuwa askofu wa Smirna
|
|
|
3.
|
Leonidasi
alikuwa baba wa mwanatheolojia mkuu
|
|
|
4.
|
Shule
ya Biblia ya Alexandria ilikuwa Rumi
|
|
|
5.
|
Klaudi Nero alimuua Sipriani askofu wa Antiokia
|
|
|
6.
|
Domitiani
alimsulubisha Petro mnamo mwaka 90 B.K
|
|
|
7.
|
Mkutano
wa kwanza wa Yerusalemu uliitishwa mnamo mwaka 48 B.K
|
|
|
8.
|
Yerusalemu ilibomolewa mnamo mwaka 70.B.K
|
|
|
9.
|
Donato
aliongoza uasi katika karne ya nne B.K
|
|
|
10.
|
Novatiani
aliongoza uasi katika karne ya tatu
|
|
|
11.
|
Marsion
alidai kwamba Injili ni kwa watu wote
|
|
|
12.
|
Montano
alidai kwamba Injili ilitegemea falsafa na mafumbo
|
|
|
13.
|
Askofu
Sextus wa Rumi ni mtu wa kwanza Kutengeneza Kanuni ya Maandiko ya Matakatifu
|
|
|
14.
|
Askofu
Polikapu alikuwa mwanafunzi wa Mtume Yohana
|
|
|
15.
|
Origeni
alikuwa mwalimu wa Theolojia
|
|
|
16.
|
Katika
karne ya pili kanisa lilipambana na maadui watatu
|
|
|
17.
|
Kanisa
lilipitia vipindi kumi vya mateso sawasawa na unabii wa kanisa la Smirna
|
|
|
18.
|
Waraka
wa Balnaba uliandikwa na mtume Paulo
|
|
|
19.
|
Pelpetua
aliuuwa kama shahidi wa imani kule Kathegi
|
|
|
20.
|
Marsioni
alianzisha Mlengo wa Umontano
|
|
|
SEHEMU
C
(Alama 20) MASWALI YA KUOANISHA
Oanisha kati ya
Orodha A na Orodha B kwa kujaza katika jedwali lililotolewa baada ya jedwali la
maswali.
ORODHA
“A”
|
ORODHA
“B”
|
1. Spriani
|
Alijiua mnamo mwaka 68.B.K
|
2.
Sextus
|
A. Ulikataliwa
kuingizwa kwenye Kanuni Ya Maandiko Mt
|
3.
Ignasi
|
B. Askofu
wa Rumi
|
4.
Ufunuo wa Mtume Petro
|
C. Aliagiza
kubomolewa kwa majengo ya makanisa
|
5.
Polikapu
|
D. Mafundisho
ambayo hayakukubaliwa na kanisa
|
6.
Deokletiani
|
E. Paulo
na Balnaba
|
7.
Nero
|
F. Marko
|
8.
Uzushi
|
G. Askofu
wa Smirna
|
9.
Wamishenari wakuu
|
H. Askofu
wa Antiokia
|
10.
Chanzo cha mgogoro
|
I. Alipewa
uaskofu mwaka mmoja baada ya kuokoka
|
|
J. Paulo
na Petro
|
|
K. Mfia
dini wa kwanza
|
|
L. Alitawala
kwa miaka 100
|
|
M. Deusius
|
|
N. Septimus
Severus
|
Jedwali la
majibu
Swali
|
1
|
2
|
3
|
4
|
5
|
6
|
7
|
8
|
9
|
10
|
Jibu
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
KALENDA YA
MATUKIO
Soma kwa makini
maelezo na miaka na kisha jaza katika jedwali lililotolwa chini baada ya
jedwali la matukio
MATUKIO
|
MIAKA
|
1.
Mkutano wa kwanza wa Kanisa zima
|
A.
48. B.K
|
2.
Nero alianza kutawala
|
B.
312 B.K
|
3.
Patano la amani la Mfalme Kostantino
|
C.
Karne ya tatu
|
4.
Kuanguka kwa dola ya Rumi
|
D.
254
|
5.
Mkutano wa Kostantinopali
|
E.
381 BK
|
6.
Leonidasi anauawa
|
F.
30.B.K
|
7.
Kupaa Mbinguni
kwa Bwana Yesu
|
G.
68 B.K
|
8.
Simoni ndugu yake Yesu anauawa
|
H.
476 .B.K
|
9.
Nero anajiua
|
I.
107 .B.K
|
10.
Kuanza kwa utawa
|
J.
165 .B.K
|
11.
Polikapu anauawa
|
K.
54. B.K
|
12.
Origeni anakufa akiwa gerezani
|
L.
202 B.K
|
13.
Yustini shahidi anauawa
|
M.
155 BK
|
14.
Sipriani anauawa
|
N.
325 B.K
|
15.
Mkutano wa Yerusalemu
|
O.
1453
|
16.
Marsioni anahukumiwa uzushi na kutengwa na kanisa
|
P.
1914
|
17.
Kuanguka kwa Kostantinopali
|
Q.
144 B.K
|
18.
Patano la Westfalia
|
R.
433 B.K
|
19.
Mkutano wa Efeso
|
S.
1648
|
20.
Vita ya kwanza ya dunia
|
T.
258 B.K
|
Swali
|
1
|
2
|
3
|
4
|
5
|
6
|
7
|
8
|
9
|
10
|
11
|
12
|
13
|
14
|
15
|
16
|
17
|
18
|
19
|
20
|
Jibu
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni