Jumamosi, 20 Mei 2017
DHANA YA UVUVIO WA BIBLIA
MAFUNDISHO YA
BIBLIA
By .Rev. Dr Erick L Mponzi
DHANA
YA UVUVIO WA MAANDIKO MATAKATIFU (BIBLIA )
1.
Uvuvio wa Maandiko Matakatifu.
Neno la Mungu
Linanena:
Maana
unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu
walinena
yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Petro 1:21.
Kila
Andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya
watu
makosa yao, na kwa kuwaonya, na kuwaadhibisha katika haki. Timotheo wa
pili
3:16.
I.
Maana ya Pumzi
Neno Pumzi
lililotumiwa katika Timotheo wa pili 3:16 linatokana na neno la Kigriki theo
Pheustos na linaonyesha ya kwamba Mungu (Theos) alipuzia (Pneo= kupuliza) Neno
lake katika waandishi wa maandiko. Ni jambo la kusikitisha kujua hayo kwa
maneno mawili ya Kigriki, yaliyotumiwa kwa kupumua: Peo (kupumua na fahamu) na Psucho (kupumua polepole au
bila fahamu ), Pneo linatumiwa. Pumzi,
kwa hivyo
ilikuwa ni kupuzia kwa nguvu kwa fahamu na Mungu kwa mwanadamu, ambapo
walipokea Neno takatifu la Mungu, kwa maneno mengine watu watakatifu wa Mungu wakiwezeshwa
chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, na kwa utiifu wa kutosha kwa amri takatifu,
kwa hivyo wakazuiliwa na kosa lolote. Kwa hali hii, maandiko yote yalitolewa na
puzio
II.
Aina mbalimbali za Pumzi
Sio kila
anayedai kuamini katika pumzi ya Biblia, anaona upuzio jinzi tunavyoona sisi, puzio
la maneno au kamili. Kwa hivyo ni muhimu kwetu kutofautisha kati ya aina
mbalimbali za pumzi. Tunapotazama katika maelezo mbalimbali, itakuwa wazi ni
kwanini tunaweza tu kukubali pumzi ya maneno au kamili kama “pumzi ya Kibiblia”.
1.
Upuziomzi wa Asili
Haya maelezo
yanakataa kwamba kuna kitu ambacho si cha kawaida, au tofauti na mengine jinsi
vile Roho wa Mungu aliingia kwenye na juu ya waandishi wa maandiko. Inadai
kwamba Biblia haijapuziwa kamwe kuliko vile Shakespeare, Mohamed, au Confucius.
Conn anaonyesha
ya kwamba kulingana na maoni haya, ni akili ya mwanadamub kuliko Roho wa Mungu
ambaye aliwazuzua waandishi wa Biblia kuandika. Hakuna kitu ambacho kingekuwa
mbali na ukweli. Evans anaitikia kweli ya kwamba ikiwa hii ingekuwa tabia ya
pumzi iliyo katika waandishi wa andiko, hakuna kile kinachotuhakikishia kwamba
hawakuwa na uwezo wa kufanya makosa, kufundisha mambo yaleyale ya uwongo ya
maisha kama vile ulivyokuwa ule mwanga wa akili yamwanadamu.
2.
Upuzio usio Kamili
(1)
Wazo la Upuzo wa Fikira
Hili wazo
linatetea kwamba ni mawazo ya waandishi tu yalipuziwa bali si maneno. Kwa
hivyo, Mungu alitoa ufunuo wake kwa dokezo lisilo pangwa sawasawa, na kuliacha
kabisa kwa mwandishi kuelezea yale mawazo yaliyopulizwa. Haya yangeonyesha ya
kwamba si kila neno katika Biblia lilipulizwa. Bali Neno la Mungu lenyewe
linasisitiza umuhimu wa Neno moja (Mathayo 5:18). Wasimamizi wa wazo hili
hawataki kufungwa na mambo ya kibiblia. Wanataka kujihifadhia wenyewe uhuru wa
kutoa ufafanuzi wao wenyewe kwa maandiko. Hata
hivyo, kama si
kila neno limepulizwa, tutawezaje kuamua ni maneno gani yamepulizwa na ni yapi
ambayo hayajapulizwa? Ikiwa tu ni mambo ya Biblia yamepulizwa, inaweza kuwa
vigumu kwetu kujua mapenzi ya Mungu.
(2)
Upuzio wa Tabia na wa Kiroho
Hili jambo
linaonyesha ya kwamba ni ushauri wa kiroho na kitabia katika
maandikoumepulizwa. Kwa maneno mengine,
Mungu angewaachia waandishi matukio haya wenyewe, hakukuwa na hitaji la Mungu
kuwapuzia. Wazo kama hilo huenda lingeacha uwezekano wa Biblia kuwa na
masimulizi na makosa mengine. Kama hatuwezi kujua kikamilifu kuhusu matukio ya
historia, tutakuwaje na uhakika juu ya ukweli wa kiroho? Kwa hivyo, waandishi
walihitajika wapulizwe wanaponakili mambo ya historia. Pache yuko sawa
anapoelezea ya kuwa shahidi ambaye haaminiwi katika njia moja hawezi kuaminiwa
katika njia nyingine yoyote.
(3)
Upuzio wa Kerygma
Wasomi wengi wanashikilia wazo hili, ambalo linadhibitisha
ya kwamba Biblia ina hadithi, mikasa na hadithi za kubuni. Ila wanasema ya
kwamba haiwazuii kuamini katika Neno la Mungu, katika njia zao wenyewe.
Kulingana na kuhitimu wazo lao hakuna mtu aliyeelimika na kuhitimu
atakayekubali kwamba Biblia imepulizwa kikamilifu. Mojawapo wa wanathiolojia
wenye himizo miongoni mwao akiwemo Rudolf Bultman, ambaye alihitimu kuvua
Biblia miujiza yote na mambo
yasiyo ya asili.
alijaribu kupunguza upuzio kwa Kerygma au mafundisho ya Biblia.Lakini
haya yangemaanisha
kwamba Kuwepo
kwa kwanza kwa Kristo
Kuzaliwa kwa
Bikira
Uungu wa Kristo
Miujiza ya
Kristo
Msamaha wa
Kristo
Ufufuo wa Kristo
Kurudi kwa
shangwe kwa Kristo
kama vile hukumu
ya mwisho, kuwepo kwa roho wazuri na wabaya, nguvu na ubinafsi wa Roho
Mtakatifu n.k. haungekuwa kweli. Ikiwa hivi ndivyo ilivyokuwa, ni kwa nini
tunaamini mafundisho ya kitabu chenye maneno kuhusu miujiza, ambayo ni yenye
udanganyifu mtupu.
3.
Upuzio wa Kutumia Nguvu
Roho Mtakatifu,
kulingana na wazo hili, alitumia waandishi wa maandiko kama mashini kuliko
watu. Biblia iliamrishwa (somwa) kwa waandishi ili kwamba chochote
walichoandika kilikuwa bila kosa. Hakuna nafasi iliyoachwa kwa maoni ya binafsi.
Wazo kama hilo lingeonyesha ya kwamba kila kitabu katika Biblia
kimeandikwa
katika mtindo mmoja, kwa sababu Mungu ndiye mwandishi wa mwisho, lakini kwamba
alitoa Neno lake kupitia kwa upuzio kwa
mwanadamu wa asili, akiwakubali kuhifadhi mtindo wao wa kuandika na ubinafsi.
Tunaamini ya
kwamba kila Neno katika Maandiko linatoka kwa Mungu. Lakini vilevile
linaonyesha mguso wa mwandishi binadamu. Unaposoma Biblia utatambua juhudi ya
kuchoma ya Paulo, utakatifu mpole wa Yohana au fikira za upole za Yakobo. Jambo
ya kwamba mwandishi alizuiliwa kutokana na makosa yote halimaanishi ya kwamba alipoteza utu wake wa
mwanzoni.
4.
Kamili, Ikijawa na Pumzi ya Maneno
Tunaposema
kwamba tunaamini katika pumzi ya maneno (kamili) ya Biblia, tunadhibitisha ya
kwamba Roho Mtakatifu aliwaongoza waandishi wa maandiko katika njia fulani,
kwamba, aliwaacha na ubinafsi wao na mtindo, ili hali akiwazuia kutokana na
makosa yote.
Upuzio wote
unamaanisha ya kwamba upuzio ni kamili na bila chochote kuachwa!
Maandiko
yanashuhudia kwa himizo hilo yanapoelezea ya kwamba “maandiko yote yanatolewa
na Mungu” (Timotheo wa pili 3:16). Kila neno (lililonenwa) katika Biblia
limepulizwa na Mungu. Baneroft anaelezea hivi: “ingawaje Roho Mtakatifu hakuchagua
maneno kwa waandishi, ni dhahiri kwamba aliyachagua kupitia kwa
waandishi. Mbali na jambo ya kwamba Andiko limepulizwa
kikamilifu kwa maneno, hata hivyo, lina historia, na lugha ya wanadamu, hata na
watenda dhambi. Katika kitabu cha Ayubu hatupati tu maneno yaliyoongelewa na
Mungu, maongezi ya Ayubu na marafiki
zake, bali hata na shetani. Kwa sababu hiyo, ni maneno tu yaliyo
zungumzwa na Mungu yalikuwa matakatifu, bali kila neno ambalo
mwandishi wa Ayubu alinakili chini ya Upuzio Mtakatifu. Kwa hivyo, kila neno
lilipulizwa na Mungu. Baada ya kutambua ni nini maana ya Upuzio wa maneno, tunaweza
sasa kuitikia Biblia kwa njia mpya. Kwa kila muumini aliyezaliwa mara ya pili,
ni hakika. Tunaposoma ukurasa mgumu na huku kuelewa, hatutairejea kama
mwanafunzi mkarimu
afanyavyo
anayesema: “kuna kitu kibaya na kifungu hiki cha andiko.” Lakini badala yake
tutasema: “kuna kasoro na kuelewa kwangu kwa kifungu hiki” na tutamuuliza Mungu
kutusaidia katika kuelewa kwetu.
Jumapili, 12 Machi 2017
DIPLOMA YA THEOLOJIA KWA NJIA YA INTANETI
ELAM
CHRISTIAN HARVEST SEMINARY
ECHASE
SEMINARI
YA MAVUNO ELAM
P.O.BOX 69
MKWAJUNI SONGWE
Tel.
0762532121. Email. elamseminary@gmail.com
Kuwaandaa
Watendakazi kwaajili ya Mavuno ya Nyakati za Mwisho.
LUKA
10:2
DIPLOMA YA
BIBLIA NA THEOLOJIA KWA NJIA YA INTANETI
Uongozi
wa Chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminary unapenda kuwa
tangazia umma wote wanaopenda
kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu (Theolojia) kuwa imeanzisha program ya Mafunzo ya Biblia
na Theolojia kwa njia ya Mtandao (Intaneti).
Tunatoa
DIPLOMA YA BIBLIA NA THEOLOJIA kwa njia ya Mtandao
Huna haja ya kuacha
kazi yako na familia yako na kwenda chuoni kwa muda mrefu, Waweza kusoma ukiwa
unaendelea na kazi yako na kufikia maono yako au ngazi unayotaka.
Diploma
ya Biblia na Theolojia ina jumla ya masomo/kozi arobaini na mbili (42 ) zenye
jumla ya krediti tisini (90)
Mwanafunzi
aweza kusoma kuazia kozi moja hado kozi tatu kwa mwezi. Mwanafunzi atatumiwa
masomo na mitihani kwenye emaili yake na baada ya kujifunza na kufanya mitihani
mwanafunzi atarudisha mitihani kupitia emaili ya chuo liyoko hapo juu.
GHARAMA ZA MASOMO
Chuo
chetu kinatoa mafunzo kwa gharama nafuu kabisa inayomwezesha kila mtu kumudu. Gharama zetu hulipwa kwa kila kozi.
·
Ada ya usajiri ni Tsh. 11,000/=
·
Ada ya kozi ni Tsh. 15,000/=
·
Mwanafunzi aweza kulipa ada ya muhula
mzima au ada ya kila kozi atakayosoma kwa muda husika.
LUGHA YA MAFUNZO
Masomo
yanafundishwa kwa lugha mbili Kiswahili
na Kiingereza. Mwanafunzi atachagua lugha atakayotumua katika masomo yake.
Baada
ya Mwanafunzi kufuzu kozi zote 42 atatunukiwa Diploma ya Biblia na Theolojia.
Watu
wote mnakaribishwa kujiunga na chuo hiki ili muweze kuandaliwa kwaajili ya
mavuno ya Kiroho.
Kwa
maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu za hapo juu au kwa barua pepe ya
hapo juu.
Wako
katika Mavuno
Rev.
G J Kagussa
Naibu
Makamu Mkurugenzi Mkuu Taaluma.
ELAM
CHRISITAN HARVEST SEMINARY
ORODHA YA KOZI NGAZI YA
STASHAHADA (DIPLOMA)
Programu ya Biblia na Theologia inalenga
kuwaandaa watendakazi na viongozi wa kanisa wenye kujaa upako wa Roho mtakatifu na wenye taaluma ya
kutosha katika uwanja wa theologia, huduma za kanisa na sanaa. Pia inalenga
kuwapa stadi na ujuzi na kuwajengea uwezo wa kumtumikia Mungu katika wito wao
kwa ufanisi mkubwa. Baada ya mafunzo haya viongozi hawa watakuwa na uwezo wa
kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika utumishi wao na
kuweza kumzalia Mungu matunda yanayodumu. Pia wataweza kufanya shughuli za
uongozi na kutumia raslimali mbalimbali katika kuujenga ufalme wa Mungu. Pia
programu hii inalenga kuwandaa wanafunzi
kitaaluma ili wawe na uwezo mpana wa kuendelea na masomo ya elimu ya juu
katika fani mbalimbali za elimu ya ki-Mungu.
Programu hii inajumla ya krediti 90
na itachukua miaka mitatu ya ya mafunzo darasani na nje ya darasa
Baadaya kuhitimu mafunzo mwanafunzi ataweza kufanya huduma mbalimbali
kutegemeana na wito wa Mungu au huduma
iliyomo ndani yake.
ORODHA YA KOZI NGAZI YA
STASHAHADA (DIPLOMA)
Mwaka
Wa Kwanza
Semista ya Kwanza
NAMBA
YA KOZI
|
JINA
LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDB
100
|
Uchunguzi
Wa Agano la Kale
|
3
|
EDB
101
|
Uchunguzi
wa Agano Jipya
|
3
|
ED
T 100
|
Misingi
ya Imani
|
2
|
EDM
100
|
Sifa
na ibada
|
1
|
EDT
105
|
Bibliolojia
|
2
|
EDB
103
|
Mbinu
za Kujifunza Biblia
|
2
|
EDA
100
|
Stadi
za Mawasiliano na mbinu za Usomaji
|
2
|
Semista ya Pili
NAMBA
YA KOZI
|
JINA
LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDT
200
|
Kuisikia
sauti ya Mungu
|
1
|
EDT201
|
Maisha
ya Kikristo
|
2
|
EDT
202
|
Kanuni
za kufasiri Maandiko
|
3
|
EDT
203
|
Kanisa
|
2
|
EDM
200
|
Huduma
ya Ukombozi na uponyaji
|
2
|
EDM
201
|
Mbinu za kufanya Uinjilisti
|
2
|
EDM
202
|
Homiletiksi
|
2
|
EDM 203
|
Mazoezi
ya Vitendo I
|
1
|
Mwaka
Wa Pili
Semista ya tatu
NAMBA
YA KOZI
|
JINA
LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDT
300
|
Historia
ya Kanisa
|
2
|
EDL
300
|
Maandalio
ya Uongozi .I
|
2
|
EDM
300
|
Vita
vya Kiroho
|
2
|
EDC
300
|
Mbinu
za Kupanda Makanisa
|
3
|
EDT
303
|
Wanawake
katika Huduma
|
2
|
EDT
301
|
Karama
Za Roho Mtakatifu
|
2
|
EDB 300
|
Danieli
na Ufunuo wa Yohana
|
2
|
Semista ya nne
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDT
400
|
Agano
la Mungu
|
2
|
EDP400
|
Saikolojia
ya Biblia
|
2
|
EDT
400
|
Mahusiano
ya Kikristo
|
2
|
EDC
400
|
Mbinu
za Mazidisho ya Kiroho
|
3
|
EDB
400
|
Waebrania
|
2
|
EDT
405
|
Theolojia
I
|
2
|
EDT 406
|
Maandalio ya uongozi II
|
2
|
Mwaka wa
Tatu
Semista ya Tano
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDL
500
|
Kanuni
za Uongozi wa Kiroho
|
2
|
EDM
500
|
Theolojia
ya Utendaji
|
2
|
EDM
501
|
Huduma
ya Masaidiano
|
1
|
EDT
500
|
Ndoa
na Familia ya Kikristo
|
3
|
EDT
505
|
Utafiti
wa ki-Theolojia
|
2
|
EDT
502
|
Theolojia
II
|
2
|
EDA
500
|
Ujasiliamali
|
2
|
EDL
502
|
Mazoezi
ya Vitendo II
|
1
|
Semista ya Sita
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDIDI
|
EDT
604
|
Dini
zaUlimwengu
|
2
|
EDT
600
|
Huduma
tano za Uongozi
|
1
|
EDP
600
|
Ushauri
wa Kichungaji
|
3
|
EDT
601
|
Theolojia
ya Kichungaji
|
2
|
EDL
600
|
Kuongoza
kwa Kusudi
|
1
|
EDA 600
|
Sayansi
ya Jamii
|
1
|
EDM
600
|
Mbinu
za Ufundishaji
|
2
|
EDT
602
|
Maadili
ya Kichnungaji
|
2
|
EDT
606
|
Kupokea
Upako wa Roho Mtakatifu
|
1
|
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
