Jumatatu, 8 Oktoba 2018

POSTGRADUATE DIPLOMA IN THEOLOGY/ STASHAHADA YA UZAMILI KATIKA THEOLOGIA

Chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminari kwa kushirikiana na Chuo cha Great Cmmission Bible College cha  nchini Marekani Wanawatangazia watu wote nafasi za kujiunga na Masomo ya Theolojia ngazi ya Stashahada ya Uzamili katika Theolojia (Postgraduate Diploma in Theology) kwa njiya ya Mtandao/INTANETI
Masomo haya yanatolewa kwa lugha ya kingereza ni ni kozi ya mwaka mmoja.
Waombaji wa kozi hii wanapaswa kwa wahitimu wa ngazi ya Shahada ya kwaza ya elimu ya kawaida (secular education) au  wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Theolojia au  inayofanana na hiyo

Baada ya kufuzu programu hii mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kuendelea na masomo ya shahada ya uzamili/umahiri katika Theologia au Huduma katika chuo hiki na katika  vyuo vingine vya kidini duniani kote.

Ada ya maombi ya kujiunga na chuo ni Tsh, 25000/=
Ada ya masomo kwa kila somo/kozi ni Tsh, 35,000/=

Watu wote mnakaribishwa ili muweze kuandaliwa kwaajili ya Huduma. Zoezi la kujiunga na masomo ni endelevu linaendelea muda wote. mwanafunzi anaruhusiwa kujiunga na masomo muda wowote.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0762532121/0765992774 au tuandikie kwa barua pepe elamseminary@gmail.com


tangazo hili limetolewa leo tarehe 09/10/2018.

Wako katika Elimu ya Kikristo
Rev.Dr. Erick L Mponzi
MKURUGENZI MKUU












POSTGRADUATE OF THEOLOGY (PGDT)
   Postgraduate Diploma in Theology Programme is designed for people holding an undergraduate degree or equivalent in a discipline other than theology, who wish to upgrade their knowledge and skills in this field. This course has been designed to allow people to upgrade their knowledge and skills and also improve professional performance and personal satisfaction.   For students from other disciplines it provides a broad overview of Theology in general. Admission normally requires at least   Lower   second class degree. Also a Advanced Diploma Holder may apply to pursue this course as preparation for doing a master in Theology.

Post gradate Diploma in Theology is A special Course as Preparatory entry in Master of Theology to those people who do not have undergraduate Degree (Bachelor) in Theology or Religious Education. This course is a programme of one year of study. This Program have 60 Credit hours.  In order to qualify to be awarded this  Postgraduate Diploma   a candidate must satisfy all requirements of the Programme.


COURSE LIST OF  POSTGRADUATE DIPLOMA IN THEOLOGY (PGDT)
First Semester
 First Semester Courses
Course Code
Course Title
Credit/Units
EGB 1000
The  Survey of Old Testament
3
EGB 1001
The Survey of New Testament
3
EGT 1000
Foundations of  Faith
3
EGM 1000
Ministries of the Holy Spirit
3
EGT 1002
Systematic Theology             
3
EGT 1003
Church History
3
EGT 1004
Praise and Worship
3
EGA 1000
Personality Psychology
3
Second Semester   Courses
Course Code
Course Title
Credit/Units
EGT 2000
Marriage, family and Christian Life
3
EGT 2001
Biblical Hermeneutics
3
EGM 2000
Homiletics
3
EGL 2000
Biblical Management  Principles
3
EGT  2004
Research Methods in  Christian Theology
3
EGM  2001
Pastoral Theology
3
EGT 2005
Research Methods in  Christian Theology
3
EGT 2006
Research   Project
3

Ijumaa, 12 Januari 2018

NAFASI ZA KAZI YA KUFUNDISHA CHUO CHA BIBLIA



UONGOZI WA   Chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminary (ECHASE)   unayofuraha kuwatangazia  Watendakazi na Viongozi wa Kanisa Nafasi za kujitolea kufundisha  katika chuo hiki.Tunaamini kuwa  Wako watumishi wa Mungu  nchini wenye  elimu ya Huduma   na Theolojia wanaoweza kufundisha watumishi wengine.
Elam Christian Harvest Seminary ni Taasisi ya Kikristo  inayofanya kazi na madhehebu yote katika kuwaanda watendakazi na Viongozi wa Kanisa  kwaajili ya Mavuno ya nyakati za mwisho.
Tunaamini kuwa Watendakazi wanapaswa kuandaliwa katika uwanja wa Mavuno, kama alivyofanya Bwana wetu Yesu Kristo katika kuwaandaa wanafunzi wake kwaajili ya kazi ya Mavuno
Tunakusudia kuwaandaa watendakzi na viongozi wa Kanisa wengi wenye kujaa maarifa ya Neno la Mungu na Upako wa Roho Mtakatifu kwaajili ya kuingia katika  Mavuno ya Kiroho ili kuondoa changamoto ya uhaba wa watendakazi  kama alivyosema Bwana Wetu Yesu Kristo kwamba “Mavuno ni Mengi lakini Watendakazi ni Wachache (Luka 10:2)
Tunakusudia kuanzisha  Vituo vya mafunzo katika  Maeneo mbalimbali katika mikoa na wilaya  Nchini Tanzania. Vituo hivyo vitaendesha Mafunzo ya wiki  moja hadi wiki  mbili kwa   mwezi. Hivyo tunahitaji kuwa na Wakufunzi wengi  ili kuweza kutimiza mkakati huu.
Biblia inasema  katika 2Timotheo 2:2
  Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine
Tunatoa  ombi  la kujitolea kufundisha   katika vituo  hivi  vitakavyoanzishwa   katika Maeneo mbalimbali nchini.



SIFA ZINAZOTAKIWA.
           Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa  zifuatazo:-
1.     Awe amezaliwa mara ya pili (awe ameokoka)
2.     Awe na Huduma mojawapo ya zile huduma tano za Uongozi (Mtume,Nabii,Minjilisti, mchungaji au mwalimu)
3.      Mhitimu wa Chuo cha Biblia  katika fani ya Theolojia, Huduma  au uongozi wa Kiroho ngazi ya Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada, Stashahada ya Uzamili au Shahada ya Uzamili.
4.     Awe Mshiriki  katika kanisa  la Mahali  Pamoja (a member of a local Church).
5.     Awe anajua kuongea na kuandika vizuri Kiswahili au Kiingereza.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Mtumishi yeyote aliyetayari  kujitolea kufundisha katika  Seminari  hii awasiliane na   uongozi wa Seminari  kwa simu namba 0762532121/0765992774 au kwa barua pepe elamseminary@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe30/03/2018
Tangazo hili limetolewa na



Rev.Dr. Erick L Mponzi
MKURUGENZI MKUU