TANGAZO
Uongozi
wa Elam
Christian Harvest Seminary kwa
kushirikiana na Chuo cha GREAT COMMISSION
BIBLE COLLEGE
kilichopo MAREKANI unapenda
kuwatangazia watu wote wanaopenda
kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu (Theology) kuwakaribisha kujiunga
na masomo ya Shahada ya uzamili katika Huduma (Master of Ministry ) kwa mwaka
wa masomo 2018/2019. MASOMO HAYA YANAANZA KUTOLEWA MWEZI WA KWANZA 2018
Masomo haya
yanatambuliwa Kimataifa. Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa
na Bodi ya elimu ya juu ya nchini Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa
Kimataifa. (It is accredited Christian
Institution)
Masomo haya yanatolewa kwa njia ya Mtandao. Huna
haja ya kuacha kazi zako na family yako na kwenda chuoni, masomo yetu yanakufikia
kule ulipo kwa njia ya Mtandao (INTANETI) na yanafundishwa kwa lugha ya
KINGEREZA
Masomo haya
yametayarishwa na Waalimu mahiri katika fani ya Huduma na Theolojia, Baada ya
kuhitimu mafunzo yaha mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za
kihuduma katika taasisi za kidini na jamii kwa ujumla. Mwanafunzi ataweza
kushika nyazifa za uongozi katika kanisa, kufundisha Vyuo vya Biblia na
Seminary za Theolojia N.k.
MUDA WA MAFUNZO NI
Muda wa Mafunzo ni miaka miwili (2) Ingawa mwanafunzi mwenye kusoma kwa kasi anaweza kusoma
kwa muda wa chini ya miaka miwili.
Mwanafunzi Atasoma Kozi moja hadi mbili kwa mwezi
SIFA ZA MWOMBAJI TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu
kozi zote atatunukiwa Shahada ya UZAMILI
KATIKA HUDUMA ya ( Master
in Ministry. M.Min) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE
COLLEGE cha Marekani.
1.
Awe na Shahada ya Theolojia au inayofanana na hiyo awe na angalau GPA 2.9 au Daraja
B
au
2.
Awe na Stashahada ya juu (Advanced Diploma ) ya Theolojia au inayofanana
na hiyo Awe na angalau GPA ya 3.0
GHARAMA
ZA MAFUNZO
i.
Ada ya
Usajili Tsh, 25,000/=
ii.
Ada Ya Kila Kozi Ni Tsh, Tsh,45,000/=
MFUMO WA MALIPO.
Malipo
yote yanafanyika kwa njia ya m-pesa kwa simu namba 0762532121
MFUMO WA UJIFUNZAJI
Mwanafunzi
atatumiwa kitabu cha kozi/Somo, mwongozo
wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe) Mwanafunzi Atasoma na kujibu
mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha chuoni kwa emaili yetu ambayo ni elamexam2010@gmail.com nasi tutaisahihisha mitihani hiyo na
kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya email yake.
JINSI YA KUJIUNGA
Mwombaji
anapaswa kutuma maombi kwa njia ya barua
pepe kwenye emaili
Ya chuo ambayo ni elamseminary@gmail.com
au kupiga simu namba 0762532121/0765992774 kwajili ya maelekezo zaidi.
ORODHA
YA MASOMO
Course Code
|
Course Title
|
Credits
|
EGMT 1000
|
Introduction to
Religion
|
3
|
EGMT 1001
|
Attribute of God
|
3
|
EGMM 1000
|
Basic Christian
Counseling
|
3
|
EGMM 1001
|
World Mission
|
2
|
EGMM 1002
|
Deeper Work
|
3
|
EGMB 1001
|
Hebrews
|
2
|
EGMT 1003
|
Portrait of Jesus
|
3
|
EGMM 103
|
The prayer life
|
3
|
EGMB 2000
|
Success Through
the Scriptures
|
3
|
EGMT 2000
|
Tenets of the
Faith
|
2
|
EGMB 2000
|
Bible Geography
|
3
|
EGMM 2000
|
Understanding your Potentials
|
3
|
EGMM 2001
|
Research Methods
in Ministry 3
|
3
|
EGMM 2002
|
Biblical
Hermeneutics
|
3
|
EGMT 2001
|
Christian
Education
|
2
|
EGML 2000
|
Church Management
and Administration
|
3
|
EGMM 2003
|
Thesis
|
6
|
TOTAL Credits 50
Credits Hours
LIMETOLEWA NA
Rev.
Dr. Tuli. K Brown
DEPUTY
ASSOCIATE DIRECTOR GENERAL ACADEMIC AFFAIRS