Ijumaa, 15 Mei 2015

MTAALA WA DIPLOMA YA BIBLIA NA THEOLOGIA



ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY
ECHASE
SEMINARI YA MAVUNO ELAM
P.O.BOX 69  Simu 0762532121,0759201519



 



KUWAANDAA WATENDAKAZI KWA MAVUNO YA SIKU  ZA MWISHO


MTAALA WA ELIMU YA BIBLIA NA THEOLOGIA 2015/2016

STASHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOGIA
Diploma in Bible and Theology (DBT)
Programu ya Biblia na Theologia inalenga kuwaandaa watendakazi na viongozi wa kanisa wenye kujaa  upako wa Roho mtakatifu na wenye taaluma ya kutosha katika uwanja wa theologia, huduma za kanisa na sanaa. Pia inalenga kuwapa stadi na ujuzi na kuwajengea uwezo wa kumtumikia Mungu katika wito wao kwa ufanisi mkubwa. Baada ya mafunzo haya viongozi hawa watakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika utumishi wao na kuweza kumzalia Mungu matunda yanayodumu. Pia wataweza kufanya shughuli za uongozi na kutumia raslimali mbalimbali katika kuujenga ufalme wa Mungu. Pia programu hii inalenga kuwandaa wanafunzi   kitaaluma ili wawe na uwezo mpana wa kuendelea na masomo ya elimu ya juu katika fani mbalimbali za elimu ya ki-Mungu.
Programu hii itachukua miaka miwili ya mafunzo darasani na nje ya darasa
Baadaya kuhitimu mafunzo mwanafunzi ataweza kufanya huduma mbalimbali kutegemeana na wito au huduma iliyo ndani yake.Mwanafunzi ataweza kuwa:-
1.     Mpanda makanisa
2.     Mmishenari
3.     Mchungaji
4.     Mwinjilisti
5.     Mwalimu wa shule ya jumapili/maandiko
6.     Chaplini.
7.     Kiongozi wa timu za kupanda makanisa n.k

ORODHA YA KOZI NGAZI YA STASHAHADA YA BIBLIA NATHEOLOGIA
MWAKA WA KWANZA
SEMISTA YA KWANZA
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDB 100
Pitio la Agano la Kale
3
Lazima
EDB 102
Pitio la Agano Jipya
3
Lazima
EDT 100
Misingi ya Imani
2
Lazima
EDT 101
Ufuasi
2
Lazima
EDM 100
Sifa na ibada
2
Lazima
EDA 100
Mawasiliano na stadi za usomaji
1
Lazima
EDT 105
Bibliolojia
2
Lazima
SEMISTA YA PILI
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDT 200
Kuiskia Sauti ya Mungu
2
Lazima
EDT 201
Maisha ya Kikristo
2
Lazima
EDT  202
Kanuni za kufasiri Biblia
3
Lazima
EDT 205
Misingi ya Theologia
2
Lazima
EDT 206
Kuvunja kongwa la umaskini
2
lazima
EDM 200
Shule ya ukombozi
2
Lazima
EDM  201
Vita vya kiroho
2
Lazima
SMISTA YA TATU
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDT 300
Historia ya kanisa
3
Lazima
EDM 300
Shule ya uponyaji
2
Lazima
EDL 300
Maandalio ya uongozi
2
Lazima
EDC 300
Mbinu za kupanda makanisa
2
Lazima
EDM 301
Kuandaa mahubiri
2
Lazima
EDT  303
Wanawake katika huduma
1
Lazima
EDT 306
Thelogia I
3
Lazima

Maadili ya Uchungaji
2
Lazima
SEMISTA YA NNE
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDT 400
Agano la Mungu
2
Lazima
EDP 400
Saikolojia ya Biblia
3
Lazima
EDT 300
Mahusiano ya kikristo
2
Lazima
EDC 400
Mbinu za mazidisho ya kiroho
2
Lazima
EDT 405
Theologia ya wanamatengenezo wa kanisa
2
Lazima
EDT 401
Kanisa na utandawazi
2
Lazima
EDT 403
Kutembea na Mungu
2
Lazima
SEMISTA YA TANO
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDL 500
Kanuni za uongozi wa kiroho
2
Lazima
EDM 500
Theolojia ya utendaji
3
Lazima
EDM 501
Huduma ya masaidiano
1
Lazima
EDT 500
Ndoa na familia
2
Lazima
EDT 5005
Utafiti wa Kitheologia
2
Lazima
EDT 502
Theolgia II
2
Lazima
EDT 604
Theologia linganishi
2
Kuchagua
EDT 603
Mafundisho potofu
2
Kuchagua
EDM 502
Mazoezi  ya vitendo I
1
Lazima


SEMISTA YA SITA
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EDT 600
Karama za Roho Mtakatifu
3
Lazima
EDP 600
Ushauri wa Kichungaji
2
Lazima
EDT 601
Theolojia ya Kichungaji
2
Lazima
EDL 601
Usimamizi wa Raslimali za kanisa
2
lazima
EDM 600
Mbinu za  ufundishaji
2
Lazima
EDA 600
Ujasiliamali
1
Lazima
EDT 602
Mtazamo wa ulimwengu KiBiblia
1
Lazima
EDT 501
Kupokea upako wa Roho Mtakatifu
2
Lazima
EDT 604
Semina ya kitheologia

Lazima